IVERMECTIN INJECTION
Sh 10,000
IVERMECTIN INJECTION ni dawa ya kuchoma chini ya ngozi (subcutaneous injection) inayotumika kutibu na kuzuia minyoo ya ndani na ya nje kwa wanyama kama ng’ombe, mbuzi, kondoo, ngamia, na wengineo. Ni dawa maarufu kwa kudhibiti vimelea vinavyosababisha udhaifu na kupoteza uzito kwa mifugo.
Faida za IVERMECTIN INJECTION:
-
Inaua na kuzuia minyoo ya ndani (kama minyoo ya tumbo na matumbo)
-
Inazuia minyoo ya nje kama chawa, kupe, na vidusia
-
Huboresha afya ya ngozi na manyoya ya wanyama
-
Huongeza hamu ya kula na ukuaji wa mifugo
-
Husaidia kudhibiti magonjwa yanayosababishwa na kupe kama ndigana
-
Inafaa kwa wanyama wengi – ng’ombe, mbuzi, kondoo, nk.



Reviews
There are no reviews yet.