OXYTETRACYCLINE 10%
Sh 10,000
OXYTETRACYCLINE 10%
OXYTETRACYCLINE 10% ni dawa ya sindano ya antibiotic inayotumika kwa wanyama kama ng’ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe na wengineo. Inasaidia kutibu maambukizi mbalimbali ya bakteria na pia hushusha homa. Ni dawa ya matumizi mapana (broad-spectrum antibiotic), hivyo inaweza kutumika kama mbadala katika magonjwa mengi yanayosababishwa na bakteria.
Faida za OXYTETRACYCLINE 10%:
-
Hushusha homa kwa wanyama wote
-
Hutibu maambukizi ya bakteria kwenye mfumo wa upumuaji, mkojo, ngozi, na viungo vya ndani
-
Hutumika kama mbadala katika matibabu ya magonjwa mengi ya wanyama
-
Huboresha afya na hamu ya kula kwa wanyama wagonjwa
-
Huzuia kuenea kwa maambukizi ndani ya kundi la mifugo
-
Huongeza ufanisi wa uzalishaji kwa kudumisha afya bora ya mifugo



Reviews
There are no reviews yet.