TYLOCIN – Kiboko ya Bacteria
Sh 12,000
TYLOCIN INJECTION ni dawa ya sindano ya wanyama yenye kiambato hai cha Tylosin, ambacho ni aina ya antibiotic. Hutumika kutibu na kudhibiti magonjwa mbalimbali yanayosababishwa na bakteria, hasa yale yanayoathiri mfumo wa upumuaji wa wanyama kama ng’ombe, mbuzi, kondoo, na nguruwe.
Faida za TYLOCIN INJECTION:
-
Inatibu magonjwa ya mfumo wa upumuaji (kama kikohozi, homa, nimonia n.k.)
-
Huzuia kuenea kwa maambukizi ya bakteria mwilini
-
Huboresha afya ya mapafu na uwezo wa kupumua
-
Husaidia wanyama waliodhoofika kutokana na maambukizi kupona haraka
-
Huongeza uzalishaji na ufanisi wa mifugo kwa kudumisha afya njema



Reviews
There are no reviews yet.