Dhibiti Minyoo na ALBENOR 1ltr
Sh 10,000
Dhibiti Minyoo na ALBENOR, ni dawa yenye wigo mpana wa kudhibiti vimelea (parasites) kwa ufanisi mkubwa. Inafanya kazi kwa kuua na kuzuia aina mbalimbali za minyoo na vimelea vinavyosababisha magonjwa kwa mifugo.
Faida kuu za ALBENOR 1Ltr:
-
Huzuia na kuua minyoo aina ya nematodes (roundworms).
-
Hufanya kazi dhidi ya minyoo aina ya fluke (flatworms).
-
Inadhibiti na kuua vimelea vilivyokomaa na vichanga kwa ufanisi mkubwa.
-
Huzuia pia mayai ya vimelea kuendelea kukua na kusababisha maambukizi mapya.
-
Inasaidia mifugo kuwa na afya bora, ukuaji mzuri, na uzalishaji wa juu.



Reviews
There are no reviews yet.